Sema "hello" kwa tukio tofauti la ujumbe. Makini isiyotarajiwa ya faragha, pamoja na huduma zote unazotarajia.
"Ninatumia Cipchat kila siku."
Edward Snowden
Msema ukweli na bingwa wa faragha
"I trust Cipchat because it’s well built, but more importantly, because of how it’s built: open source, peer reviewed, and funded entirely by grants and donations. A refreshing model for how critical services should be built."
Jack Dorsey
CEO of Twitter and Square
"Cipchat ndicho chombo cha usimbaji fiche tulichonacho. Ni bure na hukaguliwa kirika. Ninawahimiza watu kuitumia kila siku."
Laura Poitras
Mtengenezaji wa filamu alieshinda tuzo ya Oscar na
mwandishi wa habari
"Mimi huvutiwa mara kwa mara na wazo na utunzaji uliowekwa kwenye usalama na utumiaji wa programu hii. Ni chaguo langu la kwanza kwa mazungumzo yaliyosimbwa."
Bruce Schneier
Mtaalamu maarufu kimataifa wa usalama wa teknolojia
Chunguza hapa chini kuona kwa nini Cipchat ni mjumbe rahisi, mwenye nguvu, na usalama
Usimbo fiche wa mwisho-hadi-mwisho (unaowekwa na Itifaki ya Cipchat ya chanzo huria) huweka mazungumzo yako salama. Hatuwezi kusoma jumbe zako au kusikiliza simu zako, na hakuna mtu mwingine anayeweza. Usiri sio njia ya hiari— ni njia tu ambayo Cipchat inafanya kazi. Kila ujumbe, kila simu, kila wakati.
Shirikisha kwa maandishi, ujumbe wa sauti, picha, video, Vihuishi Tuli na faili bure. Cipchat inatumia muunganisho wa data ya simu yako ili uweze kuepusha ada za Ujumbe Mfupi na Ujumbe wa Media.
Piga simu wazi za sauti na video kwa watu ambao wanaishi katika jiji lote au kuvuka bahari, bila malipo ya umbali mrefu.
Ongeza safu mpya ya kujieleza kwenye mazungumzo yako na vibandiko vilivyosimbwa. Unaweza pia kuunda na kushirikisha pakiti za vibandiko vyako.
Gumzo za vikundi hufanya iwe rahisi kuendelea kuungana na familia yako, marafiki, na wafanya kazi wenzako.
Hakuna matangazo, hakuna wauzaji wa ushirika, na hakuna ufuatiliaji wa kuogofya kwenye Cipchat. Kwa hivyo zingatia kushirikisha nyakati unazojali na watu unaowajali.
Cipchat ni shirika huru lisilopata faida. Hatuhusishwi na kampuni yoyote kubwa ya
teknolojia, na kamwe hatutanunuliwa na yoyote aidha. Maendeleo yanawezeshwa na ruzuku na
michango kutoka kwa watu kama wewe.